Thursday, December 26, 2013

Diamond amtambulisha Wema rasmi kama mchumba wake

HATIMAYE! Penzi la Diamond na Wema si kificho tena, Diamond amtambulisha Wema rasmi kama mchumba wake jana
HATIMAYE! Penzi la Diamond na Wema si kificho tena, Diamond amtambulisha Wema rasmi kama mchumba wake jana 1
Tukio hilo lilitokea rasmi jana kwenye show ya Diamond pale leaders Club ambapo Diamond aliuliza msahabiki wake kuwa ''Mntaka kumjua mchumba wangu?'' na ndipo baada ya muda mfupi alipanda stejini mwanadada Wema Sepetu na kuanza kucheza na Diamond na kukumbatiana naye kuonesha ishara ya penzi lao jipya hilo lililorudi kwa kasi.

No comments:

Post a Comment